Bidnes ni Tovuti inayokupa fursa wewe mtumiaji kutangaza biashara yoyote. Lengo kubwa ni kukurahisisha maisha yako. Na kuhakikisha vitu unapata thamani ya kweli ya kitu chako, kwani kwa kuweka bidhaa zako Bidnes unatoa fursa ya bidhaa hizo kuonekana na mamilioni ya watumia mtandao. Ukibonyeza ki-button cha register na kujiunga utakuwa na fursa ya kuweka bidhaa zotezote kwenye mtandao wa Bidnes, mpya na za zamani. Na kutoa bei ambayo ungependa kulipwa kwa ajili ya bidhaa hiyo
